Winga wa Real Madrid, Gareth Bale akipasua katikati ya wachezaji wa Las Palmas katika mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Gran Canaria mjini Las Palmas visiwa vya Gran Canaria timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Marco Asensio na Karim Benzema na ya wenyeji yakifungwa na Tana na Sergio Araujo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment