Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia Juventus dakika ya 31 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Dinamo Zagreb Uwanja wa Maksimir mjini Zagreb usiku huu katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Juve yamefungwa na Miralem Pjanic dakika ya 24, Paulo Dybala dakika ya 57 na Daniel Alves dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment