Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia na taji lao la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA baada ya kuifunga mabao 4-2 Kashima Antlers leo Uwanja wa Nissan mjini Yokohama, Japan katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 baada ya dakika 90 kwisha kwa sare ya 2-2. Mabao ya Real yalifungwa na Karim Benzema dakika ya tisa na Cristiano Ronaldo matatu dakika za 60 kwa penalti, 97 na 104 wakati ya Kashima yalifungwa na Gaku Shibasaki yote dakika za 44 na 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rory McIlroy fades at Truist Championship as Alex Fitzpatrick grabs lead
-
Masters champion McIlroy had six bogeys in a third-round 75 as he fell 13
strokes off the pace set by the Englishman.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment