Jay Rodriguez akifunga kwa penalti dakika ya 89 kuisawazishia West Bromwich Albion baada ya Calum Chambers kuunawa mpira katika sare ya 1-1 na Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Hawthorns. Arsenal ilitangulia kupata bao dakika ya 83 wakati shuti la mpira wa adhabu la Alexis Sanchez lilipombabatiza James McClean akajifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Will McLaren be worried about Norris-Piastri relationship?
-
BBC Sport F1 correspondent Andrew Benson answers your latest questions
following the Hungarian Grand Prix.
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment