Lionel Messi akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika za 17 na 65 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Espanyol usiku wa jana Uwanja wa RCDE mjini Cornella de Llobregat katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine yalifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 26 na Luis Suarez dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lions run in eight tries in win over Western Force
-
The British and Irish Lions secure a comfortable 54-7 victory against
Western Force in the first game of their tour on Australian soil.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment