Chipukizi wa England, Mason Mount akiifungia Chelsea bao la kuongoza dakika ya saba baada ya kiungo mwenzake, Mnigeria Wilfred Ndidi wa Leicester City kuanguka timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la kusawazisha la Leicester City limefungwa na Ndidi dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment