WACHEZAJI wa Yanga SC kutoka kulia Lawrence Mwalusako, mchezaji mwalikwa kutoka Simba, Deo Njohole ‘OCD’, Abubakar Salum ‘Sure Boy’, Ramadhani Kilambo na Wastara Baribari aliyeipa mgongo kamera wakati wa mapumziko kwenye mchezo wa kirafiki mwaka 1991 dhidi ya timu ya taifa ya Uganda Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1, Njohole akiisawazishia Yanga baada ya The Cranes kutangulia kwa bao la Majid Musisi (sasa marehemu).
Three things we learned from Chelsea draw as tactical tweak unlocks new
blueprint
-
A juggling act on the wing produced a far better team performance against
Liverpool
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment