Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao lake la pili dakika ya 55 baada ya kufunga lingine dakika ya 42 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Kevin de Bruyne dakika ya pili na Bernardo Silva dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Weekly sports quiz: How many World Cups has Ronaldo played in?
-
How much attention have you paid to what's happened in the world of sport
over the past seven days?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment