Mshambuliaji Wayne Rooney akiondoka uwanjani baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 24 timu yake, D.C. United ikichapwa 2-1 na New York Red Bulls katika mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani Uwanja wa Audi Field mjini Washington DC hiyo ikiwa kadi ya pili nyekundu kwake tangu ahamie Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment