Teemu Pukki akishangilia baada ya kupiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 32, 63 na 75 katika ushindi wa Norwich City wa 3-1 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road. Bao la Newcastle limefungwa na Jonjo Shelvey dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment