Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Chelsea dakika za 19 na 43 kabla ya Sheffield United kusawazisdha kwa mabao ya Callum Robinson dakika ya 46 na Kurt Zouma aliyejifunga dakika ya 89 katika sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment