CHAMA, SHEKHAN NA MAREHEMU MSANGI ENZI ZAO SIMBA SC 2001
Wachezaji wa Simba SC kutoka kulia viungo Shekhan Rashid, Athumani Jumapili ‘Chama’ na beki Mussa Msangi (sasa marehemu) kabla ya moja ya mechi zao mwaka 2001 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment