TAIFA STARS 1991, MWAKALEBELA, MOGELLA, MASATU, GAGA NDANI
WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia, David Mwakalebela ‘MP’, Hamisi Thobias Gaga ‘Gagarino’ (marehemu), Zamoyoni Mogella, Sanifu Lazaro, Joseph Lazaro na George Masatu kabla ya moja ya mechi zao mwaka 1991 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment