AISHI MANULA AANZA MAZOEZI SIMBA SC IKIJIANDAA KUIVAA UD SONGO JUMAPILI TAIFA
Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manula aliyekosekana mwezi wote huu kutokana na maumivu akifanya mazoezi mepesi kuelekea mchezo na UD Songo ya Msumbiji katika Ligi ya Mabingwa Afrika Jumapili
Aishi Manula hakuwepo kwenye mchezo wa kwanza Simba ikilazimisha sare ya 0-0 ugenini
Kurejea kwa Aishi Manula ni habari njema kwa klabu yake
Wachezaji wengine wa Simba wakiwa mazoezini uwanja wa Gymkhana
Simba SC inahitaji ushindi wa nyumbani baada ya sare ya ugenini kwenye mchezo wa kwanza
0 comments:
Post a Comment