TANZANIA YAANZA VIBAYA MICHUANO YA CECAFA U15, YAPIGWA 2-0 NA UGANDA
Kikosi cha Tanzania ambacho leo kimeanza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati chini ya umri wa miaka 15 (CECAFA U15) baada ya kufungwa 2-0 na Uganda (picha ya chini), mabao ya Travis Mutyaba dakika ya 27 na 80 mjini Asmara, Eritrea
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment