Mbrazil Roberto Firmino akishangilia na wachezaji wenzake, Waholanzi Georginio Wijnaldum na Virgil van Dijk baada ya kuifungia bao la pili Liverpool dakika ya 85 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace leo Uwanja wa Selhurst Park, London. Liverpool ilitangulia kwa bao la Sadio Mane dakika ya 49 kabla ya Wilfried Zaha kuisawazishia Crystal Palace dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment