Kocha mpya, Mreno Jose Mourinho (kushoto) na Msaidizi wake, Joao Sacramento akifuatilia mchezo wake wa kwanza Tottenham Hotspur baada ya kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino Spurs ikishinda 3-1 ugenini Uwanja wa London katika Ligi Kuu ya England. Mabao ya Spurs yalifungwa na Son Heung-min dakika ya 36, Lucas Moura dakika ya 43 na Harry Kane dakika ya 49 wakati ya West Ham yamefungwa na Michael Antonio dakika ya 73 na Angelo Ogbonna dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trump open to shifting US troops from Germany to Poland
-
Will US troops withdrawn from Germany be moved to Poland? When asked, US
President Donald Trump said Warsaw favours the idea, and it is
feasible.View on eu...
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment