Refa akimuondoa bondia Mmarekani Deontay Wilder (kushoto) baada ya kumuangusha mpinzani wake, Mcuba Luis Ortiz raundi ya saba ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas na kufanikiwa kutetea taji lake la WBC uzito wa juu kwa ushindi wa Knockout (KO). Hiyo ilikuwa mara ya pili Wilder anamshinda Ortiz baada ya awali kumpiga kwa KO pia Mei mwaka jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Where to watch Dallas Wings vs. Indiana Fever: Live stream, start time, TV
channel for Saturday, May 9
-
Caitlin Clark and the Fever open the season against the Wings.
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment