Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi mabao matatu dakika za sita, 66 na 78 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Estonia usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam. Mabao mengine ya Uholanzi yalifungwa na Nathan Ake dakika ya 18 na Mryon Boadu dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment