Nahodha wa Simba SC, John Raphael Bocco akifanya mazoezi na wenzake leo Uwanja wa Gymkhana mjini Dar es Salaam baada ya kupona kufuatia kuwa nje kwa miezi miwili sasa kwa sababu ya maumivu
Kocha wa mazoezi ya viungo wa Simba SC, Mtunisia, Adel Zrane akimpa mazoezi John Bocco
John Bocco (kushoto) akijifua na wachezaji wenzake leo Uwanja wa Gymkhana
John Bocco (kushoto) akijifua na wachezaji wenzake leo Uwanja wa Gymkhana
0 comments:
Post a Comment