Toni Kroos akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao mawili dakika za 55 na 83 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Belarus kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Fainali za Euro 2020 Uwanja wa im BORUSSIA-PARK mjini Monchengladbach jana. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Matthias Ginter dakika ya 41 na Leon Goretzka dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
22 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment