Hispania wamepata ushindi wa 7-0 dhidi ya Malta usiku wa jana katika mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Ramon de Carranza mjini Cadiz, mabao ya Alvaro Morata dakika ya 23, Santi Cazorla 41, Pau Torres 62, Pablo Sarabia 63, Daniel Olmo 69, Gerard Moreno 71 na Jesus Navas 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Why the AFL doesn't want you to know who this mystery man is
-
The top brass at AFL headquarters won't be impressed after the reason for
the man's presence at several games was revealed on TV on Monday night.
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment