• HABARI MPYA

    Saturday, February 18, 2012

    ZAMALEK WAICHOMOLEA YANGA, AMR ZAKI AMTUNGUA KADO

    Mechi kati ya Yanga na Zamalek inaendele kipindi cha pili hivi sasa dakika zinayoyoma, Amr Zaki anaisawaishia bao Zamalek. 1-1. Yanga ilikuwa ya kwanza kupata bao, lililofungwa na Mwanasoka Bora wa Uganda 2011, Hamisi Kiiza. Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali, Mwinyi Kazimoto anaifungia Simba bao la kwanza dakika ya 43 dhidi ya wenyeji Kiyovu Sport. Tuendelee kuziombea dua timu zetu za Tanzania zishinde leo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ZAMALEK WAICHOMOLEA YANGA, AMR ZAKI AMTUNGUA KADO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top