MAMBO YA MOURAD HARARE SI YA KUSIMULIWA, JIONEE MWENYEWE
Beki wa Tanzania, Said Mourad 'Mweda' akifurahia baada ya Taifa Stars jana kuitoa Zimbabwe mjini Harare katika mechi ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika. Stars ilitoa sare ya 2-2 na kufuzu kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kushinda 1-0 Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment