Gazeti la Aftonbladet Sports maarufu kama Spotsbladet la Sweden, limechapisha habari za kufungiwa miaka miwili na kutozwa faini ya Sh. Milioni 2 kwa kosa la kumdhalilisha mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco. (Picha kwa hisani ya Nyupi Mwakikosa, Mtanzania anayeishi Sweden)
0 comments:
Post a Comment