AZAM FC WATUA TANGA KUWEKA KAMBI KWA AJILI YA SIMBA SC
Wachezaji wa Azam FC wakiwasili mjni Tanga jana jioni kwa ajili ya kuweka kambi ya siku tano kujiandaa na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya SimbaDesemba 12, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Azam FC watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mgambo JKT leo.
0 comments:
Post a Comment