Kocha Mcameroon, Joseph Marius Omoh akitokeza nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam baada ya kuwasili kutoka kwao, tayari kusaini Mkataba wa kufundisha klabu kongwe nchini, Simba SC
Kocha Omoh (kushoto) akiwa na Katibu wa Simba, Patrick Kahemele aliyempokea usiku huu JNIA. Omog alikuwa kocha wa Azam FC misimu miwili iliyopita wakati Kahemele akiwa Meneja wa klabu hiyo na wote wanakutana Msimbazi kama waajiriwa wapya
0 comments:
Post a Comment