Alvaro Morata akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kuongoza dakika ya 60 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Celta Vigo leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Bao la pili la Real lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 81, baada ya Fabian Orellana kuisawazishia Celta Vigo dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment