Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la tatu ikishinda 3-0 dhidi ya wenyeji, Watford jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Santi Cazorla kwa penalti na Alexis Sanchez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The final year of The Hundred as we know it?
-
The fifth edition of The Hundred will begin with big-name additions - but
private investment means there could be major changes in 2026.
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment