Mfungaji wa bao pekee la West ham United katika ushindi wa 1-0 dhidi ya AFC Bournemouth, Michail Antonio (kulia) akiwania mpira dhidi ya Adam Smith (kushoto) ana Andrew Surman (katikati) katika mchezo wa kwanza wa timu yake kwenye Uwanja wao mpya, Uwanja wa Olimpiki, London. Antonio alifunga dakika ya 85 katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment