Washiriki wa shindano la Miss High Learning Institution 2016 wakiwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom ya Tanzania Bara kati ya wenyeji, Yanga SC na African Lyon. Yanga ilishinda 3-0 na shindano hilo litafanyika Septemba 3, 2016 ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe, Dar es Salaam likisindikizwa na burudani ya Rapa Ney wa Mitego, Msaga Sumu na QS Internation Band.
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment