JICHO LA MKWASA ANAPOSAKA VIPAJI VIPYA TAIFA STARS
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Yanga SC na African Lyon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo. Yanga SC ilishinda 3-0
0 comments:
Post a Comment