Kiungo Victor Wanyama wa Tottenham akiwapandia juu wachezaji wenzake kushangilia na Danny Rose aliyeifungia timu yao bao la kusawazisha dakika ya 72 katika sare ya 1-1 na Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa White Hart Lane, London. Bao la Liverpool lilifungwa na James Milner kwa penalti bada ya Erik Lamela kuchezewa rafu Roberto Firmino PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The final year of The Hundred as we know it?
-
The fifth edition of The Hundred will begin with big-name additions - but
private investment means there could be major changes in 2026.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment