Winga wa kimataifa wa Wales, Gareth Bale akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu leo. Bao la kwanza la Real lilifungwa na Álvaro Morata dakika ya 33. Bale alikuwa anacheza kwa mara ya kwanza leo baada ya kurejea kufuatia kuwa nje ya Uwanja kwa miezi mitatu kwa maumivu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Everton star reveals the kind gesture Diogo Jota paid him after joining the
club
-
Beto was among the Everton delegation which laid flowers outside Anfield
following the news of Jota's death.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment