Mabondia Meshack Mwankemwa (kushoto) wa Mbeya na Mbwana Matumla (kulia) wakionyeshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mapambano yao yatakayofanyika Februari 5, mwaka huu Uwanja wa ndani wa Taifa, Dar es Salaam. Mwankemwa atapigana na Ramadhani Shauri na Matumla atamkabili na Suleiman Shaaban
Wednesday, February 01, 2017
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.png)
0 comments:
Post a Comment