Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao la nne dakika ya 78 ikishinda 4-0 dhidi ya Cyprus katika mchezo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels, Ubelgiji. Mabao mengine ya Ubelgiji ambayo ilikwishafuzu kabla ya mechi ya jana yalifungwa na Eden Hazard mawili dakika za 12 na 63 kwa penalti na Thorgan Hazard dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Strategist warns of 'mini bubbles' on the fringe of the AI trade
-
Sky-high valuations are broadly justified due to Big Tech's spending and
investor fervor around the AI trade, but there are some "mini bubbles"
coming to t...
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment