Jesse Lingard akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 81 ikiwalza wenyeji, Everton Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool, huo ukiwa ushindi wa kwanza kwa kikosi cha kocha Mreno, Jose Mourinho baada ya mechi nne. Bao la kwanza na United lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bellamy thwarted in bid to lure Celtic's Osmand
-
Craig Bellamy has been thwarted in his bid to ensure Celtic forward Callum
Osmand could play for Wales.
38 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment