Nyota wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ameposti picha hii ya magari yake ya kifahari yenye jumla ya Pauni 850,000 ambayo alikuwa ameyapaki nje ya hoteli ya kifahari ambayo mchezaji huyo anaishi. Gari hizo ni pamoja na Lamborghini Aventador yenye thamani ya Pauni 270,000, lakini pia Aubameyang ana Porsche, Ferrari na Range Rover katika gari hizo. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Gabon ana gari nyingine kibao za kifahari ambazo bado hajazihamishia England ambako katika mechi sita alizoichezea Arsenal tangu ajiunge nayo Januari ameifungia mabao matatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Charles brothers and McCann out of NI qualifiers
                      -
                    
Northern Ireland manager Michael O'Neill will be without key midfield duo 
Shea Charles and Ali McCann for this month's 2026 World Cup qualifiers 
against Sl...
49 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment