Lionel Messi wa Barcelona akikimbia na mpira kwa mahesabu dhidi ya beki wa Las Palmas, Alejandro Galvez katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Gran Canaria usiku wa jana. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Barca wakitangulia kwa bao la Messi dakika ya 21, kabla ya Las Palmas kusawazisha kupitia kwa Jonathan Calleri kwa penalti baada ya Lucas Digne kuushika mpira kwenye boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jose Ochoa def. Clayton Carpenter at UFC 328: Best photos
-
Jose Ochoa's win over Clayton Carpenter, UFC 328, Prudential Center,
Newark, N.J. (Photos by John Jones-Imagn Images; UFC; MMA
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment