Kiungo Cesc Fabregas akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la tatu dakika ya 41 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Derby County ya kocha Frank Lampard kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Fikayo Tomori dakika ya tano na Richard Keogh dakika ya 21 wote wakijifunga huku mabao ya Derby yakifungwa na Jack Marriott dakika ya tisa na Martyn Waghorn dakika ya 27 na sasa The Blues watawakaribisha Bournemouth katika Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Jake Paul's fight with Gervonta 'Tank' Davis cancelled amid domestic 
violence lawsuit
                      -
                    
Paul's 'Most Valuable Promotions' confirmed on Monday night that they are 
instead planning for the YouTuber-turned-boxer to headline another event on 
Netfl...
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment