Refa David Coote akimuonyesha kadi nyekundu mchezaji wa Arsenal, Matteo Guendouzi baada ya kumuonyesha kadi ya pili ya njano katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Emirates mjini London. Arsenal ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Stephan Lichtsteiner dakika ya 33 na Emile Smith Rowe dakika ya 50, wakati la Paudie O'Connor dakika ya 66 ambaye alitolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumchezea rafu Pierre-Emerick Aubameyanna sasa The Gunners watakutana na Tottenham Hotspur katika Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
De'Aaron Fox set to sign eye-watering $229m contract as he becomes one of
league's top earners
-
An NBA star has agreed to an eye-watering maximum contract extension with
the Spurs, according to a report.
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment