Lionel Messi akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika za 16 na 20 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Bao lingine lilifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 61 na Barcelona inakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-0 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Manchester na itakutana na mshindi wa jumla kati ya Porto na Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
51 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment