Jordi Alba akishangilia na mchezaji mwenzake, Arturo Vidal baada ya kuifungia Barcelona bao la pili dakika ya 64 akimalizia pasi ya Lionel Messi ikiilaza 2-1 Real Sociedad katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Bao la kwanza lilifungwa na Clément Lenglet dakika ya 45 akimalizia pasi ya Ousmane Dembele kabla ya Juanmi kuisawazishia Real Sociedad dakika ya 62 kwa pasi ya Mikel Merino na kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 77 baada ya kucheza mechi 33 ikiendelea kuongoza La Liga kwa pointi tisa zaidi ya Atlético Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
41 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment