Mshambuliaji Jamie Vardy wa Leicester City (kulia) akiondoka kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 86 katika ushindi wa 3-0 huku kipa wa Arsenal, Bernd Leno akigalagala leo Uwanja wa King Power kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Vardy pia alifunga bao la tatu dakika ya 90 na ushei, wakati bao la kwanza lilifungwa na Youri Tielemans na kwa ushindi huo Leicester City inafikisha pointi 51 baada ya kucheza mechi 36 na kupanda kutoka nafasi ya 11 hadi ya nane, wakati Arsenal inabaki nafasi ya tano na pointi zake 66 za mechi za mechi 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lando Norris WINS the Hungarian Grand Prix and narrows gap on McLaren title
rival Oscar Piastri - but it's more misery for Lewis Hamilton
-
JONATHAN McEVOY IN BUDAPEST: Hoping for a tonic to take away with him into
the summer break after losing out to Piastri in Belgium, he got it.
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment