Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe akishangilia na mchezaji mwenzake, Dani Alves baada ya kuifungia mabao yote timu yake dakika za 15, 38 na 55 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Monaco kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Bao pekee la Monaco lilifungwa na Aleksandr Golovin dakika ya 38 na kwa ushindi huo PSG ilitangazwa rasmi kuwa bingwa wa Ligue 1 kutokana na kufikisha pointi 84 katika mchezo wa 33 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment