Ousmane Dembele wa Barcelona akikosa bao la wazi yeye na kipa Roberto Santamaria wa Huesca kipindi cha kwanza leo Uwanja wa El Alcoraz mjini Huesca kwenye mchezo wa La Liga timu hizo zikitoka sara ya 0-0 huku kocha Ernesto Valverde akimuanzisha kipa Marc-Andre Ter Stegen pekee katika wachezaji wake wa kikosi cha kwanza na kuwapumzisha wengine wote akiwemo Lionel Messi kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester United Jumanne Uwanja wa Camp Nau PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment