Marcos Alonso (kushoto) akishangilia na Olivier Giroud baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya 86 ikiilaza 1-0 Slavia Praha katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Sinobo mjini Praha na timu hizo zitarudiana Aprili 18 Uwanja wa Stamford Bridge, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
40 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment