Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 10 ikiwalaza wenyeji, Watford 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road huku akimaliza ukame wake wa mabao wa mechi saba. Watford ilimaliza pungufu baada ya Troy Deeney kutolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa kosa la kumpita Lucas Torreira dakika ya 11 tu na kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 66 sawa na Chelsea katika mchezo wa 33 na kurejea nafasi ya nne ikiizidi kwa pointi mbili Manchester United inayoshika nafasi ya sita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Edo: Hotel under construction collapses, kills owner
-
From Tony Osauzo, Benin Tragedy has struck in the Idumoza community, Uromi,
Esan North-East Local Government Area of Edo State, where a hotel under
const...
56 minutes ago
0 comments:
Post a Comment