Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 15 na 63 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst Park mjini London. Bao la tatu limefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 90 wakati la Crystal Palace limefungwa na Luka Milivojevic dakika ya 81 na kwa ushindi huo Man City inafikisha pointi 83 baada ya kucheza mechi 33 na kurejea kileleni, ikiizidi pointi moja Liverpool ambayo muda inamenyana na Chelsea Uwanja wa Anfield katika mchezo wake wa 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
40 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment