Mohamed Salah akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la pili Liverpool dakika ya 53 kufuatia Sadio Mane kufunga la kwanza dakika ya 51 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Ushindi huo unairejesha Liverpool kileleni ikifikisha pointi 85 baada ya kucheza mechi 34, sasa ikiizidi Manchester City pointi mbili ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Edo: Hotel under construction collapses, kills owner
-
From Tony Osauzo, Benin Tragedy has struck in the Idumoza community, Uromi,
Esan North-East Local Government Area of Edo State, where a hotel under
const...
58 minutes ago
0 comments:
Post a Comment